grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 235
- 312
be patient master
YaaHOi selection znatoka tare14 september afu kuanza kuriport kwa wale waliochaguliwa ni 25september kwa mujibu wa tangazo waliloweka nacte
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kike
mm sikusoma kabsa
Anhaaa aya Advance ndo pazuri sio?mm sikusoma kabsa
ila ningesoma leo ningekua naulizia post za kujiunga advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kuzuga we kila siku na miaka yote unatembea hum JF.. ina maana hujui lolote
Sio kwa vyuo vyote chuo kama cha ustawi wa jamii mwisho tarehe 30 august 17
Sawa mkuuSio kwa vyuo vyote chuo kama cha ustawi wa jamii mwisho tarehe 30 august 17
Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
Dah! Labda unijuze ww mkuu.Mkuu acha kuzuga we kila siku na miaka yote unatembea hum JF.. ina maana hujui lolote