Kwa wale tunaosubiri selections za diploma certificate na diploma 2017/18 hili lina ukweli?

grandMullah23m

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
234
310
Kuna tetesi nimeskia kuwa waliosoma certificate na kuaply kozi tofauti na walizosomea na kuaply nyingne kwenye ngazi ya diploma hawatachaguliwa...je ni kweli jaman?inakuwaje kwa aliyeaply coz ya uhasibu, ilhali kasomea b.administration?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom