Kwa wale nguli wakutongoza!!!Msaada

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani Hapa JF ni sehemu yakupata maskill haijalishi hata kama umezeeka elimu aina mwisho!!

Naomba mtaalamu amwage masikil yake hapa au hata ile flashback jinsi alivyotongoza!!:decision:

  1. Unatakiwa uwenanini katikakutongoza
  2. Unapotaka kutongoza unatakiwa uwekwenye mazingira gani??
  3. Mwanamke wastaili gani umchomekee mistari unatakiwa kuangalia nini kwanza kabla yakuanza vesi!
  4. Je ukishamsimamisha unatakiwa uanze na neno gani??
  5. Je akiwezakukusikiliza hatua ya pili unatakiwa kufanya nini??:A S 13:
 
mh naonaga kama hivyo vitu vinakujaga tu automatically mkishakutana ingawa kuna wanaume huwa wanakua na aibu sana ya kutongoza anaogopa kutolewa nje au kupigwa kibuti kwamba itakua aibu kwake
Jamani Hapa JF ni sehemu yakupata maskill haijalishi hata kama umezeeka elimu aina mwisho!!

Naomba mtaalamu amwage masikil yake hapa au hata ile flashback jinsi alivyotongoza!!:decision:

  1. Unatakiwa uwenanini katikakutongoza
  2. Unapotaka kutongoza unatakiwa uwekwenye mazingira gani??
  3. Mwanamke wastaili gani umchomekee mistari unatakiwa kuangalia nini kwanza kabla yakuanza vesi!
  4. Je ukishamsimamisha unatakiwa uanze na neno gani??
  5. Je akiwezakukusikiliza hatua ya pili unatakiwa kufanya nini??:A S 13:
 
Ngumu kukariri hiyo kitu huja automatically unajikuta ushasema halafu hutakumbuka ulianzaje wala ulimalizaje.
 
ingia hapa kakakiiza nadhani kila kitu utakikuta hapa

https://www.jamiiforums.com/mahusia...67-the-bottom-line-ya-sanaa-ya-kutongoza.html

Back
Top Bottom