Bae wangu hujambo?Siku ukijua nguvu ya nickname, hutosema haya.
Sijambo Red lane wanguBae wangu hujambo?
Hatari sana!
Asante kwa kunielimishaBAE ni abbreviation ya neno 'Before Anyone Else'
Ngoja aje Romy Ronny atusaidieNa huyu mwenzie wa kuitwa boo?