Yani Hapa huwa nashangaa , ladies msome functionality za sites mbali mbali..... yani Site ni mahususi kwa ajili ya dating ila huweki effort yoyote pindi unapokuwa txtd. Kwanini ulijiunga sasa? yani hapo ni kuongeza tu operating cost za site husika afadhali ondoa iyo profile yako kama hutaki izo mambo.