Kwema wadau hope mko poa
Kesho ni jumapili ni siku ya kutafakari mambo mengi ya kiroho na kuungama na kua watakatifu, hivyo basi wewe kaka na wewe dada mliopanga kujigijigi/ kuto...na baada ya kutoka Ibada naombeni msimchezee Mungu maana hadhihakiwi
Yaan adi Mungu anatushangaa sana eti unasema nikitoka church napita kwako tugegedane hivi kweli sasa church unaenda kufanya nini basi? Au kila jumapili church ila baada ya hapo ni full migegedo tena isiyo rasmi haipendezi asee, tufanye yote ila tumheshimu Mungu..
Dhambi ni nyingi ila uzinzi ni chronic na ndio utaopeleka wadau wengi jehanamu tujitahidi kuepuka hizi mambo hasa kesho tuingiapo kanisani
Mwisho..... Uzinzi haulipi tafuta Mke/Mme mwenye hofu ya Mungu tulia
N.b Mimi ni Mzinzi pia ila nikipendacho sifanyi na nisichokipenda nafanya eeeh Mungu nisaidie kua mwema..