Kwa Wakristo tu

Kamau Kingu

Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
71
Reaction score
7
Heshima kwenu,

Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?

Kazi kwenu
 
Wakristo ndo watu gani?na nani aliyekuambia mpaka kifo kikutenganishe.amua mwenyewe hatima ya maisha yako.
 
Yaani mnaishi tu ata kama unamkuta mwenzio anagegeda au kugegedwa unatakiwa kumsamehe?
Aaaaah iyo ngumu sana
 
Mwende kwa padri au mchungaji mkazungumze kuna makosa mengine yanawatenganisha
 
Grrrrrrrrrrrr.........Ngoja watoto wa alah waje kushambulia
 
Kinachotenganisha ni uzinzi n kifo basiiiii......ila ht ukiamua kuacha kwa sababu binafsi unaweza ila zingatia watoto,.....
 
Heshima kwenu,

Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?

Kazi kwenu

Kwa WAKRISTO mkeo hata akikupakaa kinyesi usoni Huna RUKSA KUMUACHA MPAKA KUFA.

Na ukimuacha Umevunja amri ya BIBILIA. Utalaaniwa mpaka siku ya Mwisho na Ukifa unatupwa Moto wa Jehanamu.

Huo ndio UKRISTO km Ulikuwa hujui.
 
Mwende kwa padri au mchungaji mkazungumze kuna makosa mengine yanawatenganisha

nenda kanisani hakuna padre humu

Mnamshauri mwenzenu aende kwa Padri. Sasa huyo padri akiomba Faragha na Mkewe Je ampishe?
Manake Mapadri kuwapelekea wake ni sawa na Kupeleka kesi ya Mbuzi kwa Fisi. Lzm mtuhumiwa na mtuhumiaji Watafunwe!

Teh teh teh teh.
 
Ujui unachoongea ndugu yangu
 
sisi wenye uhakika na mafundisho yetu wacha tuwaachie wenye kubuni sheria
 
Hiyo iman ina raha yake mke hata akichepuka na ukamkuta live kakunjwa miguu ya mwanaume mwenzako sharti umuonye tu kwa mdomo hairuhusiwi hata kumgusa,bible voice!
 
Peleka jukwaa la dini maana ili jukwaa halina vizuizi...
 
Kwa maana wajuaje, wewe mwanamke, kama utamwokoa mumeo? Au wajuaje, wewe mwanamume, kama utamwokoa mkeo?

Heshima kwenu,

Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?

Kazi kwenu
 
Wanaojadili hapa wengi ni ushabiki; wekeni hayo maandiko yanayokataza kuacha Mke hapa?
 
Mmmh!!!!!!!!1 mkeo anakufanyia vituko?????

Wakati mwingine angalia mustakabali wa watoto kama wapo, kama hawapo angalia hapo ulipo kuna amani au la.

Dini na sharia zimeletwa na binadamu, wewe angalia yakupasayo kutenda, kama unaona mke ni mzigo na huna hila ndani yako muache tena kwa taratibu za serikali, fanya maisha yako,....................haya maisha imafupi wala hakuna ajuaye kama kunamaisha mengine baada ya kufa........................... ishi kwa amani na fulaha leo, ya kesho huyajui.
 
Yaani mnaishi tu ata kama unamkuta mwenzio anagegeda au kugegedwa unatakiwa kumsamehe?
Aaaaah iyo ngumu sana

Mkuu usipotoshe jamii hapa.. Ukisoma kwenye kitabu cha Mathayo 19:9 Yesu anasema "kila mtu atakaemuacha mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati na kuoa mwingine na akaoa mwingine azini, nae amwoaye yule alieachwa azini"..

Maana kubwa hapo unaweza kumuacha mke wako pale itakapothibitika amefanya uasherati au kuzini nje.. Vinginevyo unatakiwa kuifanya ndoa yako strong kila siku.. Usitafute sababu ya kutaka kuchukua kijana mwenye maziwa saa 6 kisa wa sasa umeshamfuja.. Fanya starehe yako ujanani ili ukimaliza na kuamua kuoa utulie kwenye ndoa yako..
 
Si haki" inabidi utafute usuluhishi huwez vumilia kila siku utashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…