Kwa wakina Thomas wasiamini ubaya wa chanjo,matone ya vitamin A,dawa za kichocho nk.

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Chanjo,matone ya vitamin A ,dawa za minyoo,kichocho,na sindano nyingi watoto wetu wanazo chomwa mashuleni ni mbaya.Naomba kila mtu mwenye akili nzuri ajiulize,kama hawa watu ni wema kiasi hicho,mbona hawawapi watoto wetu elimu ya bure?Mbona chakula hawatupi wakati njaa inapo tukabili?Mbona watoto wetu hawana madawati wanakaaa chini?Mbona tunapoumwa hawatupi dawa za bure nk.nk.?Sasa ili kujua zaidi malengo yao soma mwenyewe sehemu zifuatazo:
*Nenda Google au Yahoo halafu type maneno yafuatayo:'targerts of
the illuminati and the committee of 300.'Enter/Go.' Soma pia eneo
lifuatalo,'The Secret covenant.' Nenda Google,Yahoo au hata MSN
au hata kama kuna 'resource' nyingine unayoifahamu.Kama una
matatizo ya moyo/'pressure'nakushauri usisome mambo hayo kwa vile
yanatisha kidogo.
 
Back
Top Bottom