Kwa wakazi wa Tabata

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,651
Reaction score
12,030
Ile bar ya pale Kilimani Baracuda haiitwi "ze griti" inaitwa "ze greti" Kwa English ikiandikwa the great inasomeka "greti".
Ni hayo tu, maana nawasikia wengi wakiita ze griti.
 
Upande gani huo?!

Pale baracuda karibia na store ya TBL au karibia na bustani ya GBF
 
Ile bar ya pale Kilimani Baracuda haiitwi "ze griti" inaitwa "ze greti" Kwa English ikiandikwa the great inasomeka "greti".
Ni hayo tu, maana nawasikia wengi wakiita ze griti.
Nina mashaka sana kama umemaliza hata kidato cha pili.
 
Ile bar ya pale Kilimani Baracuda haiitwi "ze griti" inaitwa "ze greti" Kwa English ikiandikwa the great inasomeka "greti".
Ni hayo tu, maana nawasikia wengi wakiita ze griti.
Duuh [emoji53]
 
Hii kitu imekuwa common na inasikika sana hadi ukisema "ze great" unaona unakosea kumbe ndo uko sahihi..
 
Kwahiyo nini hoja yako hapa?
 
Hii kitu imekuwa common na inasikika sana hadi ukisema "ze great" unaona unakosea kumbe ndo uko sahihi..
Wabongo wengi ambao hawaijui Lugha ya Malkia wanaamini kila kwenye "E" wanadhani inasomeka 'i"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…