Mkuu Naomba nisiseme mengi Ila nikukumbushe machache tu.
Mfalme Suleiman alipopewa fursa Ya kuomba lolote, je aliomba furaha? Je aliomba Mali na utajiri? Aliomba Nini Cha duniani?
Lakini je hakupewa vyote? Je alipungukiwa chochote Cha duniani?
Nakumbusha tu, sisemi chochote lupus.