Unavojiexpress hivohivo utapata wanawake wa type yako iyoiyoBila ya kuwa hata na Kistarlet kina Smile wanadenguwa sana, sasa hivi hapa mjini gari siyo kwa ajili ya usafiri bali tuimpress Bitches. Mwenye nyumba haeshimiki hapa mjini kuliko mwenye gari.
Sijakuelewa bado hivi wewe Mwanaume mwenye Prado na mwenye Nyumba chamazi sijui kete yako itaanzia wapi? usitake kujifanyafanya hapa wakati watu kama nyinyi mnashoboka hata kwa Ma V8 za serikali STJ.Unavojiexpress hivohivo utapata wanawake wa type yako iyoiyo
Cheni bandia noti bandia
Jifunze kuwa real utaumia
Sijakuelewa bado hivi wewe Mwanaume mwenye Prado na mwenye Nyumba chamazi sijui kete yako itaanzia wapi? usitake kujifanyafanya hapa wakati watu kama nyinyi mnashoboka hata kwa Ma V8 za serikali STJ.
Tatizo lako Smile unadhani ninachosema mimi ndivyo nilivyo, siko hivyo mimi binafsi nina gari yangu yangu Toyota Hilux Surf, Diesel Engen in good Condition lakini usishangae ukiniona napanda daladala maana siishi kwa hisia za watu wengine.Hivi mwanamke anaekupenda anaweza kukubali kuona unadhalilika hapa mjini kwa ajili ya starehe kweli?
Mwanamke anaekupenda kweli lazima atakubali kukuvumilia na kukubali kusaidiana na wewe katika matatizo pia atakushauri kuhusumaisha. Ila kwa sababu mnapenda mauzo ndo ivo wanawake nao wanachungulia wallet wanokomba kilichopo wanawakimbia…utajijuna madeni yako
Na cha kusikitisha hata wanapokula na kupanda hayo magariyenu tunajua ni mkopo mtupu na tunajua unawasumbua na kuwapa pressure
Lakini kwa vile mmeamua kufa pressure kwa ajili yetutunashukuru
Ila mimi nimewaambiatu vile nawapenda hapa
Nyie ndo mnaotufanya tuwe hivoDah! Bi dada-hayo ndo mawazo ya ki 'wife material'. Naomba uwaconvince wadada wenzio ili nao wafikiri kama wewe...
Kwanini ununue gari then uipaki? hapo ndo naona unakosea mara mia zaidiTatizo lako Smile unadhani ninachosema mimi ndivyo nilivyo, siko hivyo mimi binafsi nina gari yangu yangu Toyota Hilux Surf, Diesel Engen in good Condition lakini usishangae ukiniona napanda daladala maana siishi kwa hisia za watu wengine.
Unachopaswa ukifahamu ni kwamba maisha yamebadilika sana na Watanzania wana dharau sana imefikia kama huna kitu cha kuonekana basi wewe si lolote, na ukumbuke kwa nature ya binadamu hakuna anayependa adharalaulike mbele ya jamii, hii ndiyo inachangia Watanzania wengi tunaishi maisha ya kuigiza, binafsi mimi sasa hivi nimeshajiondowa kwenye mambo ya kuchangia harusi kiholeholela kila mwezi. am original and not copy.
Nimeishi Ulaya na private tranport tulikuwa tunatumia weekend tu, weekdays tunatumia Public transport, nadhani huna ufahamu na unachokisema na wala hujui ni nini maana ya kumiliki gari yako binafsi.Kwanini ununue gari then uipaki? hapo ndo naona unakosea mara mia zaidi
Iyo hela si ungeinvest sehemu ingine mkuu
Hujui iyo ni hela?
Heri hata ungenunua hisa twiga cement au crdb usubiri gawio mwisho wa mwaka
Kuliko unanunua gari m 15 then unaipaki unapanda dalalala?
Ndo maana uchumi wetu haukui , na wewe ni muhujumu wa uchumiunatakiwa ushtakiwe mkuu
by the way hapa nazungumzia wanaonunua magari kwa hela ya wasiwasi i mean waliofanya gari kuwa first priority kwaoNimeishi Ulaya na private tranport tulikuwa tunatumia weekend tu, weekdays tunatumia Public transport, nadhani huna ufahamu na unachokisema na wala hujui ni nini maana ya kumiliki gari yako binafsi.
Nyie ndo mnaotufanya tuwe hivo
Kwani zamani watu walivokuwa hawana hata mkokoteni walikuwa hawaoi?
Acheni ulimbukeni wa maisha
Hivi mwanamke anaekupenda anaweza kukubali kuona unadhalilika hapa mjini kwa ajili ya starehe kweli?
Mwanamke anaekupenda kweli lazima atakubali kukuvumilia na kukubali kusaidiana na wewe katika matatizo pia atakushauri kuhusumaisha. Ila kwa sababu mnapenda mauzo ndo ivo wanawake nao wanachungulia wallet wanokomba kilichopo wanawakimbiautajijuna madeni yako
Na cha kusikitisha hata wanapokula na kupanda hayo magariyenu tunajua ni mkopo mtupu na tunajua unawasumbua na kuwapa pressure
Lakini kwa vile mmeamua kufa pressure kwa ajili yetutunashukuru
Ila mimi nimewaambiatu vile nawapenda hapa
washauri vijana wenzio bwanaMhhh hapa nasoma tuu comment nikipata wasaa nitapita na mimi nichangie
Smile maisha ni namna utakavyoamua uyaishi
Ukiamua wewe ni mtu wa kutaka kila unalofanya lionekane na watu au kwa ajili ya kufanya jambo fulani utaishia huko huko
Ishi uwezo wako na mshahara au kipato chako kinavyotaka uishi na usimuige fulani au usitake kumfurahisha fulani eti na wewe uonekane
Maisha hayaendi hivyo