S sumag Member Joined Nov 4, 2018 Posts 30 Reaction score 21 Nov 5, 2018 #1 Mm sio mtumiaji sn wa jamii forum, Nahitaji kufaham hili kabila lipatikanalo RWANDA na BURUNDI linaitwa WATWA historia yao na wametokea wapi, na tamaduni zao, maana nasikia lipo ila na halijulikan kwa watu wengi, Natanguliza shukran.
Mm sio mtumiaji sn wa jamii forum, Nahitaji kufaham hili kabila lipatikanalo RWANDA na BURUNDI linaitwa WATWA historia yao na wametokea wapi, na tamaduni zao, maana nasikia lipo ila na halijulikan kwa watu wengi, Natanguliza shukran.
Richard irakunda JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 3,659 Reaction score 4,387 Nov 5, 2018 #2 kiasiri ni waha wa kigoma
S sumag Member Joined Nov 4, 2018 Posts 30 Reaction score 21 Nov 5, 2018 Thread starter #3 Mbona Rwanda wapo na BURUNDI pia, ijapo niwachache sn