1. Install iTunes kwenye computer yako, ukifanikiwa ifungue.
2. Connect iPhone yako kwenye hiyo computer, subiri iPhone yako ionekane katika iTunes.
3. Itaonekana pale hebu iclick hiyo alama ya iPhone pale.
4. Kuingiza audio music.. Bonyeza mahala pameandikwa music kwenye iTunes pale then drag music kutoka kwenye computer yako. Na kuingiza Videos utabonyeza Movies na kudrag videos kama hapo juu.
Usihangaike kudownload music au video kutoka iTunes