Habarini wakuu, naombeni msaada wa hii kitu kwenye iPhone, app ya video na music hazifunguki, kila nikifungua inaniandikia cannot connect to iTunes Store! Nifanye vipi ili nifanikiwe kuplay?
simu yako? kama yako kanunue na computer then download app inaitwa itunes then utapata vyote unavyovohitaji,nimekupa mwanga kiufupi,mengine utajiongeza mwenyewe...
pia kuna app nyingine simple kutumia inaitwa syncios itakuingizia ukitakacho kwa urahisi zaidi ya itunes,ingawa huwa haifanyi kazi kama hauja'install itunes kwenye computer...
simu yako? kama yako kanunue na computer then download app inaitwa itunes then utapata vyote unavyovohitaji,nimekupa mwanga kiufupi,mengine utajiongeza mwenyewe...
hivi kwani ni lazima utoe ushauri wako?? Km hujui ni bora kukaa kimya tu, na ndomana wameulizwa wenye ujuzi na iPhones!!! We mwenye kujua android tuliza shipa lako ebooooo