Kwa wahehe mliopo Dar es Salaam

Kwa wahehe mliopo Dar es Salaam

mmmh! katuke be kabwa kanono ndivike na kamunyu ludodo kaharufu kanung'ile kutemeke kote be
 
Ati mbwa kaonekana mitaa ya Iringa mjini akielekea sehemu ambazo kuna machinjio. Sasa haikujulikana alipelekwa kule kufanya nini?; kulinda mifugo inayochinjwa isitoroke? Hakuna ajuaye.
 
Kwa niaba ya wahehe wenzangu, tumepokea kwa masikitiko makubwa sana tuhuma zinazoendelea mtandaoni kwamba turudishe Mbwa wa Serikali aliyepotea.

Naomba nitoe neno kwa ndugu zangu mliopo Dar es salaam, vayangu nyenye kama kuna munu alye pede ina nongwa mulemwage kulya imbwa sa vene kama mwiva mwiwike kanyama kaimbwa mutulongelage tuvanyanyile neke tulagise mubasi ino pede ndawede vatige tuhombage tugitage ndauli ao km koyoli munu avisile munyumba kakulya pakilismas apilule, ndigongola hela vatwavangu nyenye.

Yaani twihonga nyoni wungi kila munu atige nyevahehe mupilule imbwa ya vene.

Mh. Kangi Lugola sie wahehe hatujala vakutuonela hela.
Msije mkajinyonga, mh. Amechoka kutoa rambirambi, lkn mbwa wetu mrudishe.
 
Mmeamua kumwaga kilugha chenu hapa eeeh......lugola anataka mbwa wake .....mrudishe hata jibwa koko watalipeleka shule litaelewa tu kama wenzie
 
Back
Top Bottom