C Chazinho New Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jan 15, 2013 #21 JF ni mtandao wa kijamii unaokizi vigezo vyote hasa katika kuelimisha,najuta sijui ni kwanin nilichelewa kujiunga.Nawashukuru pia wote mnaojitolea muda wenu katika kuelimisha.Thanx
JF ni mtandao wa kijamii unaokizi vigezo vyote hasa katika kuelimisha,najuta sijui ni kwanin nilichelewa kujiunga.Nawashukuru pia wote mnaojitolea muda wenu katika kuelimisha.Thanx
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,652 Jan 15, 2013 Thread starter #22 Katavi said: Muwe mnasoma kwanza mada kabla ya ku-comment..... Slave hawa nao tuwaweke kundi gani....(joking) hahahaaah!!! Click to expand... hahaha wamesema nao ni ntu afu mwingine akasema kuna ntu na ntu,huku mwingine akisema kwani yeye sio ntu?????? hapo naona kazi imenishinda Katavi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Katavi said: Muwe mnasoma kwanza mada kabla ya ku-comment..... Slave hawa nao tuwaweke kundi gani....(joking) hahahaaah!!! Click to expand... hahaha wamesema nao ni ntu afu mwingine akasema kuna ntu na ntu,huku mwingine akisema kwani yeye sio ntu?????? hapo naona kazi imenishinda Katavi