Kwa wadau wa soka wote

Kwa wadau wa soka wote

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,210
Wakuu salam
ivi jamani hamuoni ichi kipaji cha haruon moshi maarufu kama boban kinapotea bure
ivi kweli amekosa washauri mpka anapotea kiasi ichi?
me naamini soka la Tz bado linamuitaji sana uyu jamaa
cc evans aveva,kaburu, hanspope,said tulli,maestro
 
Hao washauri wake si ndo walimrudisha bongo toka sweeden... Mtu unapata tim nzuri ya ligi kuu we unaichezea wakati kina maliga,wanyama walianzia daraja la3.. "maisha kama kioo ukiyachekea nayo yanacheka"
 
Back
Top Bottom