Harufu ya kawaida ya k.Kama ulioga saa12 asubuh na ulikuwa busy na kazi,biashara au kilimo na muda huu ndo umerudi nyumbani unajiandaa kuoga....kujua kama K yako ni safi Fanya yafuatayo
Vua pichu ukiwa bafuni alafu itazame kwa makini kama ina uchafu nusa kama huo uchafu unatoa harufu kali ongeza usafi zaidi kama ni msafi na bado unatoka uchafu unatoa harufu mbaya nenda hospital....
Pili kuna imani imejengeka kuwa ni lazma K itoe uchafu usio nuka mm napingana...uchafu unatoka pale ambapo mwanamke anakaribia au kumalizia P,pili uchafu unatoka pale mwanamke anapokuwa na ashki(matamanio ya sex) kama hauko kwenye nyakati hizi zote mbili na K yako inatoa uchafu zidisha usafi zaidi
Tatu co lazma ukivua pichu ukinusa inatoa harufu mbaya lazma pichu ibaki na harufu ya kawaida ya K na si harufu za mikojo au uchafu mwingine.
Nawasilisha wenye mapovu karibuni
Kumbe..Khaaa.. Watoto wale wa shule hili somo linawahusu, sidhani kama kuna mwanamke humu JF hajui kama papuchi yake ni chafu...
Uko sahihi kabisa mkuuYaan izi Uzi zako zinavojipanga napata wasiwasi kuna maneno behind (silent prints) unajarib kutwambia mi nimekupata hivi,.."I am single, inexperience in love,love sex and with clean pussy,looking for smart boyfriend"..Niko sahihi!?
joseverest nimejifunza kwako mkuu jinsi ya kujibu majibu wanayotaka kusikia watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uko sahihi kabisa mkuu
Kumbe..
Hapo kwenye ovatar yako ndo nakufanyia usafi au
Duuuh haya mkuu..wamekuelewajoseverest nimejifunza kwako mkuu jinsi ya kujibu majibu wanayotaka kusikia watu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Na kunusa mwanusaga kumbe
Sema wewe mkuuJamani haya mambo mnaweza kuongea mkiwa wadada pk yenu