Y yusuphu lubuva Member Joined Jun 27, 2018 Posts 41 Reaction score 23 Jul 19, 2019 #1 Wakuu za mida hii...nipo mkoani morogoro kikazi wiki mbili hivi,nilikua makao makuu ya shirika LA wakimbizi pale ubalozini UNHCR,nahitaji company ya mdada wa jf kula bata, Kwa watakao kuwa interested PM Asanteni
Wakuu za mida hii...nipo mkoani morogoro kikazi wiki mbili hivi,nilikua makao makuu ya shirika LA wakimbizi pale ubalozini UNHCR,nahitaji company ya mdada wa jf kula bata, Kwa watakao kuwa interested PM Asanteni
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,801 Jul 19, 2019 #2 Hizi bata leo JF! Hebu wafikirieni na kuku basi
Mahmetkid JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 732 Reaction score 444 Jul 19, 2019 #3 Mo-Town au Down-Town wanafunzi wa vyuo wapo wa kutosha