barcelonaa
Member
- Jan 10, 2014
- 11
- 1
huwa wana kaa vibaya uwone maini.
kama 2po kwenye usafiri i think naweza nkajaribu kuongea naye stor za hapa na pale kama akivutiwa i know he will ask 4 my number na kama yuko single na amevutiwa lazima atanitafuta ..
(ni maoni tu)
Mi huwa siitendei kosa nafsi yangu asee
mara smile mara kumcheki nini kusmile
namuambia tu kuwa amenivutia.....
labda aliona aibu kukuchangamkia haraka c unajua kuna aibu za kikeumenkumbusha mwaka juzi nilikuwa naenda lushoto,basi kwenye basi nadhani la jeingata nilipanda na dada mmoja mkaliz sana na kakamilika kila idara,tulikuwa tumekaa siti tofauti basi ile kumwongelesha akawa anazingua kana kwamba aniju nikapotezea.
Tulipofika mombo jamaa alokaa nae siti moja akashuka basi nikashukuru kimoyo moyo zali limeniangukia,nikahamia siti yake na kuanza kumzingua akaleta nyodo nkaona isiwe tabu.
Tulipoanza kupanda ile milima ya usambara naona mtu anaanza niongelesha na kunisogelea mara ananikumbatia,kumbe muoga wa milima na kona zile nami kwa uso wa mbuzi nikahama siti.
Mi huwa siitendei kosa nafsi yangu asee
mara smile mara kumcheki nini kusmile
namuambia tu kuwa amenivutia.....
Mi sinaga kujivunga....Mmmmh!!! mayB.
Mie sing'ati kitu, atang'ata huyo ninaemtolea yangu ya moyoni....huku unang'ata lipsi, vidole na vikucha midomoni nini, kiti hakikaliki, jicho kungwi kungwi qudadeki!!!!!
mwanamke umleavyo...