Halafu ukishamchagua mmoja, hao wengine unawapeleka wapi?Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa mume .kuna kaka wa kimasai kakulia hapa arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni administrator wa tour company flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
Kuna wachagga mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
Nikubali kuolewa umasaini niwaache wamarangu? Kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
kwa hiyo unawa-fataki wakina mama au wakina trustME.Mimi sio Mkaka wa JF, mimi ni Mbaba wa JF
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa Arusha ana lafudhi ya kichalii (chagga+meru+masai mixture) ni Administrator wa TOUR COMPANY flani mwanzoni nilikuwa namhadaa na kumcheka anavyontongoza ila nkaona awe kwenye list.Kila siku inayopita nazidi kumpenda huyu chalii baada ya kumjua kuwa ananijali anajua nini mwanamke anataka kufanyiwa na kusikia, ni mlutheran hanywi pombe.
KUNA WACHAGGA mabosi-kaka kibao wanantaka ila wanategemea kuniendesha kwa mwendo wa pesa.
NIKUBALI KUOLEWA UMASAINI niwaache WAMARANGU? kumbukeni pesa ni muhim kwenye maisha.
nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha.nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME .
mimi sio mkaka wa jf, mimi ni mbaba wa jf
ila mama yangu mchagga ntamchanage kuwa nataka kuwa na masaiKwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
kula kona mbaba mbeaMimi sio Mkaka wa JF, mimi ni Mbaba wa JF
kwa hiyo unawa-fataki wakina mama au wakina trustME.