KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali

Usisahau kumwandaa mumeo kwa massage huku unampetpeti na maneno laini..ukija kumalizia na huo ufundi hapo juu wa mimi49... asiporidhika ana lake jambo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi vitu vingine ni vigumu sana kufundishika kwa theory, nadhani practical inahitajika zaidi. Hivyo kachezwe unyago shosti utakuwa star.
 
Reactions: Luv
ili awe flexible bana!!lol unafikiri ka kiuno kikavu ndo kitalainika on bed?
mimi49 haya kiuno kikavu af ndombolo? Atazungusha mwili wote ndo balaa sasa, hata hivyo naendelea kumsisitiza afuate ule ushauri wako pale umejitosheleza
 
Last edited by a moderator:

Duuuuuh! Happy me kwa hili somo maana nlikuwa mgeni kabisa kwenye hizo mambo!
 
Mi nafikiri ukiandaliwa vizuri na ukiwa na mudi nzuri kiuno kinakatika chenyewe kuutafuta mdushelele. Na ukiona haitoshi utajikuta unamshika mwenzio kiuno unamvuta kwako unakizungusha zaidi. Utam ukikolea, kinazunguka chenyewe
 
Ukitaka kiuno chako kiwe kzunguke km pangaboi jifunze kukatika kwa kuchora 1 adi 9 kitakuwa lain hatar zaid tembelea blog ya dinahicious.
 

Kabisaaa...kiuno kile chataka ubunifu ati taratibu wazungusha.
 
Last edited by a moderator:
Jifunze kucheza mziki na pia fanya mazoezi ya viungo.
 
Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?
Hivyo ni viuno tofauti.. Cha ndomboloo stendi au balance ipo miguuni wakati cha kwa bed balance mgongo, ubavu au tumbo kutegemeana na stile inayotumika
 


Naomba nikupe kakayangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…