Kwa wadada: Ikiwa hauna nywele zako za asili wewe ni mchafu

wadada wa mjini bhana,,unakuta ananywele fake,,kope fake nyusi kanyoa kachora wanja,kucha za kubandika,,,bado haridhiki anaamua na kujichubua,,,yan ukitongoza mwanamke wa style hiyo inabidi na wewe ukajipime akil,ni jini hilo,,,me napenda wanawake wanausuka nywele zao za asili na wanaonyoa na hawana makorombwezo,kope ni zake sio yale ya kubandika marefu kama fagio la choo,kucha zake sanasana amezipaka tu rangi kawaid,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom