Poa nakukubalihapna mimi nimeridhika hivi hivi
kwa kweliKushinda hata Mkullu!
sawa mkuuPlse Mjitahidi kuzipunguza hizo kazi....
kweli kabisa wanaotushonea wenyewe ni maflat balaaUmeona mtani ila ujue ni kutojiamini.
Mimi kwangu mke awe mpole, mwenye hekima, mcheshi, mbunifu wa maisha na mvumilivu hapa namuahidi kifo tu ndiyo separation. Kinyume chake simuelewi aisei..!kweli kabisa wanaotushonea wenyewe ni maflat balaa

haya mkuuMimi kwangu mke awe mpole, mwenye hekima, mcheshi, mbunifu wa maisha na mvumilivu hapa namuahidi kifo tu ndiyo separation. Kinyume chake simuelewi aisei..!![]()

Wateja wote waelekeze kwangu bei buku mbili mbili (Tshs2,000) nimejikita kidhati kwenye mapinduzi ya kuboresha mwili wa KErubii anauza bei ghali kumbe, zake laki mbili
Kwa bei hiyo utapiga bao asee hii biashara wateja ni wengi
dawa zote zipoHilo ndio la muhimu. Marufuku kuyumbishwa. Jikubali, jiamini utaona maisha simple sana.Aaah wapi kujiamini na kujikubali tu.....
ndo inakuaje hilo.... emh nipe tipsOriginal kiko tofauti sana huhitaji kugusa
kwa kweli inabidi kusomea hii kitu, tusitapeliwe lol!!!Mwenye sponge utajua tu hata kwa kuangalia....
Habari za siku tele
Miss you sanakwa kweli inabidi kusomea hii kitu, tusitapeliwe lol!!!
salama kabisa.. you were missed
lakini huu Uzi umenikumbusha binti mmoja tulisoma nae anavaa vigodoro hatari alafu picha zake insta full kugeuza kalio Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa





hata me najiuliza sana inakuwaje mtu akivua nguo na kukutana na uso wa TV hizi za kisasa. Flaaast haina mwinuko 


wanaume wanakutana na mambo mengi sana pole yenu wanaumeNipo mkuu, hofu kwakokwa kweli inabidi kusomea hii kitu, tusitapeliwe lol!!!
salama kabisa.. you were missed
Hujui mkuu, hii imekaa vizuri kama nilivyoumbwa sio ya kutengenezwa, haijakaa kihasara mkuundo inakuaje hilo.... emh nipe tips