nasikia nitawesemea kwa raisiiimiss chagga umesikia?
Hahahaaa! Umenichekesha sana haloo, ni ukweli mtupu.Kuna jamaa yangu, mtoto wa mjomba anafanya kazi Tanga hufanya exactly kama ulivyoeleza.Huja nyumbani na kamfuko fulani kenye nyuzinyuzi kamejaa vichungwa vidoogo tena chachu sana.Siku ya kuondoka, atabeba mikungu kadhaa ya ndizi na choroko debe mbili. Natamani sana asome hili tangazo.TANGAZO! TANGAZO!
TANGAZO!
Ni kwa wachaga wote mlio safarini, msimu wa kurudi majumbani unakaribia takriban imebaki mwezi mmoja! wale mnaokuja na mkate 1,tena wa buku! sukari kg 1 mnapokuja nyumban, then siku ya kuondoka mnabeba ndizi mfuko mzima, maparachichi, viazi vitamu, maharage, na mahindi debe. sasa mmearifiwa mapema kuwa mizigo mnayobeba hailingan na mizigo mnayotuletea safarin! Sasa jipangeni sawa sawa! HATUDANGANYIKI TENA. Wajulishe wachaga wote. (hili tangazo limetoka kijijini!)