Kwa wabunge wa UKAWA tuu

DNR

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
523
337
Habari za kazi za kila siku wawakilishi wetu ,kutokana na hali ilivyo sasa ni wazi kwamba hali ni ngumu kwa wabunge wa upinzani kutimiza majukumu yenu . Hivyo basi yafuatayo ni Mambo ya msingi ya kuzingatia na kufuatwa ili muweze kuwa salama .

1.RUDINI MAJIMBONI
Ni wakati muafaka sasa wabunge wa UKAWA muda mwingi mukawepo majimboni mwenu mshirikiane na wananchi bega kwa bega shughuli za kijamii iwe kifedha au kusika vitendea kazi kwenye kazi mbalimbali .Angalizo muhudhurie vikao kulingana na idadi ambayo inahitajika na sheria za Bunge .

2. JIKWAMUENI KIUCHUMI
Kwa kifupi kila mbunge wa UKAWA ifikapo mwaka wa fedha 2017/18 akiwa ana mradi miradi ya kuweza kumuingizia kuanzia million moja kwa siku itakuwa vizuri. Hii itaondoa utegemezi katika mshahara na posho na kuongeza kujiamini na kuwa misimamo.

3. UWE MTU WA KUSOMA MCHEZO
Msiwe watu wa kukurupuka ,tulia lisome jambo ndio ujiingize .

4. 2020 SIO MBALI GET READY

MUNGU IBARIKI UKAWA NA TANZANIA .
 
Mchezo huu hauhitaji hasira, wanaisoma vizuri sasa namba aliyowaonesha marehemu Komba.
 
Sie tunawakubali sana wabunge wetu wala hatuhiyaji muongozo toka ccm, Arusha Lema wetu tuko nae bega kwa bega, tunamuelewa na maisha yanasonga 2020 kama kawa kama dawa ccm lazima wafungashe jumla kama wana busara haina haja kupoteza hela kwenye uchaguzi ambao mshindi amesha julikana.
 
Kama hawatokuwa makini ukata wa fedha utawayumbisha sana mpaka kufikia kuaibika mtaani
 
Back
Top Bottom