Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga Media alikuwa na kipaji cha asili na cha kweli cha fani hiyo na sio kama vijana wa siku hizi wanaotegemea akili bandia kufanya mambo.