Mbona wapo walioungana tayari ? CC CU MF - tatizo lipo kwenye kirefu cha MF !Mkuu nchi hii hakuna wapinzani kuna wasaka madaraka tu. Kama wapinzani kweli na wana uchungu wa kuiondoa CCM madarakani (their common enemy) kwa nini wasikae na kukubaliana kuachiana badala ya kupingana hadi wanagawana kura na CCM inapeta?
Mbona wapo walioungana tayari ? CC CU MF - tatizo lipo kwenye kirefu cha MF !
Nini kirefu chake?
chiwechi kuchema, naogopa ban lol !
Chama ni Cuf, vingine ni makampuni, CDM ni kampuni ya wachagga, wamebadili staili ya kuiba badala ya kuvunja usiku sasa Wameanzisha CDM.
Mkuu tuwe wavumilivu au kam unaona haujapendezwa na comment zake bonyeza Report abuse buttonCan we freally tolarate this kind of behavior and discussion? Matusi haya ni makubwa MOds kwa kuwa Chadema ni chama cha wananchi why huyu kijana anatusi watu na tuko kimya ? Kuna haja gani kuandika kama hujawa tayari kuchangia ?
Chama ni Cuf, vingine ni makampuni, CDM ni kampuni ya wachagga, wamebadili staili ya kuiba badala ya kuvunja usiku sasa Wameanzisha CDM.
Kwenye hao wapinzani CUF waweke pembeni manake wao ni CCM kipeuo cha pili..[/QUOTE
Waondoe CDM kwenye hiyo orodha. Hao ni waleta shari.