Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza viongozi na wanachama wa CHADEMA kutoka na elimu wanayotupatia wananchi, shukrani za pekee ziwaendee wabunge wa chadema na viongozi wakuu wa chama kam Mh Mbowe,Dr Slaa, Zitto kabwe na wengineo mungu awabariki.
Kama unafichaficha vile. Hebu eleza zaidi ni nini hasa kilichokufurahisha kuhusu hawa viongozi wa chadema.