englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Ni mpenzi wa nyimbo za safari sound,Hasa ilivyokuwa chini ya Gurumo katika huo mtindo wa ndekule,alale anapostahili...
Nikiangaliaga hizi picha nawazaga sana
Inamana miaka 30 ijayo sisi tutaitwa zilipendwa?
Si bora kuitwa zilipendwa unaweza kuitwa marehemu ambayo unatisha na kuogopesha
Du mwenzio kuitwa marehenu noma naogopa kufa du nikifikiria zile tani unazofukiwa inanipa shock
Nikiangaliaga hizi picha nawazaga sana
Inamana miaka 30 ijayo sisi tutaitwa zilipendwa?
Ndo hvo mkuu....ucshangae!!!