Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,984
Kiukweli kabisa nikiwa miongoni mwa wanaCCM nimechoshwa na aina hii ya utawala,ubabe na visasi ndio aina ya utawala tulio nao.
Nadhani sasa safari ya CCM yangu imefikia Ukingoni.
Ila tusilaumiwe sana sisi tulioipigia kura CCM,bali wa kulaumiwa ni ninyi wapinzani kwa kutuletea mtu aliyekwisha pata tuhuma nyingi za uchafu.
Ombi langu kwa upinzani tuleteeni mtu safi 2020 ili tuwape nchi.
Tumechoshwa na uongozi wa Kibabe,Visasi,Wivu na matamko ya kipuuzi.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu ubariki uhai wangu!!