Ujenzi nafuu 01
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 34
Weka samples ya kazi mlizokwishafanyaKaribuni wadau!
sawa kabisa zipo nying tu sample za "before and after.." ila Ku appload sipati zile options za Ku appload, napenda kuziweka sample ili tangazo litimie ila ndo hvi..karibu watsap 0713805750 ntakupa sample mkuu..asante!Weka samples ya kazi mlizokwishafanya
download jamii forum app au tapatalksawa kabisa zipo nying tu sample za "before and after.." ila Ku appload sipati zile options za Ku appload, napenda kuziweka sample ili tangazo litimie ila ndo hvi..karibu watsap 0713805750 ntakupa sample mkuu..asante!
kwa wale ambao hawako whatsapp mtatusaidiaje nasi tuweze kuona hizo samples mkuu?sawa kabisa zipo nying tu sample za "before and after.." ila Ku appload sipati zile options za Ku appload, napenda kuziweka sample ili tangazo litimie ila ndo hvi..karibu watsap 0713805750 ntakupa sample mkuu..asante!
Mkuu hapo itategemeana na aina ya mradi na eneo lilivyo, mf. unaweza kuta eneo lipo "slopy" sasa hapa gharama ni tofaut kwa eneo ambalo ni "flat" kujua site ilipo pia inachangia kwan kuna materials baadhi ya maeneo ni tofaut. na kikubwa zaidi ni lazma tukufanyie "estimations" za ujenzi wako kupitia Raman yko. Karbu sana mheshimiwa!Project zenu inaweza cost sh ngapi minimum