Kwa ufaulu huu anaweza kuchukuliwa Mechanical Engenering?

Reuben Rapha

New Member
Mar 30, 2021
2
0
Habari Wana jf,

Dogo hapa amepata matokeo ya PCM(C,C,D) respectively na anadivision 1.16 lakini aliomba chuo hawakumpa KIPINDI Cha selection Sasa tumejalibu kuapply.

Je, kwa ufaulu huu katka vyuo vya ufundi(Tech) wanaweza mchukua kwa (Mechanical or Electrical engeering) maana nasikia sasahv ufaulu n mkubwa na hasa vyuo wanataka waliozingua form 6, mwenye ujuzi juu ya hili swala msaada tafadhali!!!
 
Kuna MUST, St Joseph, DIT .. cha msingi omba usikate tamaa.
 
Back
Top Bottom