Kwa ufaulu huu aende kozi gani?

Kwa ufaulu huu aende kozi gani?

Secret Man

Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
15
Reaction score
18
Division 1.17

Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F.

Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
 
Mtafutie private akasome PCB ndo kwenye maisha siku hizi.

Hutojuta
 
Hkl!! Bora aende chuo certificate ya Ualimu
 
Division 1.17

Civ C, Kisw B, Hist B, English B, Bios B, Physics C, Chem C, Geog C, Literature C, Math F.

Mnashauri aende comb. gani, Serikali imempanga HKL?
CBG,itamfaa zaidi.maana akichukua physics itamsunbua sana advance.Akakomae na BAM(hesabu).
 
huyo ana iii ya 17 acha kutudanganya..kikawaida mtu akipata F ya hesabu anapigwa penalty.
 
Kama kawaida yetu watanzania. Huwa hatuna dream ya kuachieve.
Tunasoma tu kwa shagalabagala za kupangiwa na serikali na matokeo yanavyoamua.
 
Kama ndo ana uwezo wa HKL aende huko ila kama PCB ataiweza naona fresh tu itamtoaa...!! Japo HKL ni kupotezaa mudaa aiseee... Mpelekeni private PCB japo F ya math inaonesha uwezo wakee ni mdogo so A level anaweza kula mswaki huyuu...ka vip aende Kusoma Diploma yani C.O kama hela ipooo.
 
Mpeleke chuo tu
Acha na mambo ya A level
Akasome certificate andelee na diploma
Gamba la Alevel halina faida kwa sasa gamba la certificate na diploma linafaida kuzidi la Alevel
Mpeleke Clinical Medicine
Akasomee udokta

Acha na A level kupotezeana muda tu kwa sasa

Hesabu siku hizi hawapigi penalti
 
Back
Top Bottom