Kwa ubabe huu ni hatari!

Kwa ubabe huu ni hatari!

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
4,268
Reaction score
5,815
Ndugu wanajamvi!

Kwa wale wakazi wa Jiji pendwa lijulikanalo kama Dar es salaam, jiji hili limekuwa na pilikapilika nyingi za usafiri.
Lakini sambamba na adha hiyo, kumekuwa na ubabe mwingi kwa waendesha vyombo hivyo vya usafiri na kupelekea kila mmoja kuwa mbabe. Hii haijalishi, bodaboda, mikokoteni,gari nk.Hivi kwanini hupelekea hivyo?

Michango yenu ni mhimu kwa mstakabari wa kujenga utu!
 
Dar kila mtu yupo busy na maisha hali kma hyo kawaida sana
 
Kawaida sana.
 
Aisee nilifikiri ni mimi naona hilo tatizo. Kwa kweli barabarani kuna ubabe kweli,kila mtu mbabe,mjanja anajua matusi yote!
 
Dar kila mtu yupo busy na maisha hali kma hyo kawaida sana

Kuna miji watu wako busy na maisha kuliko Dar,na kuna magari mengi kuliko Dar lakini barabarani watu wanaheshimiana sio ubabe wa kijinga kama Dar.
 
Dar kila mtu yupo busy na maisha hali kma hyo kawaida sana

Mkuu huoni kuwa utu unapotea miungoni wa Watanzania, ilihali watanzania wamejengwa kwa misingi ya udugu? jamani nini kifanyike?
 
Ndugu wanajamvi!

Kwa wale wakazi wa Jiji pendwa lijulikanalo kama Dar es salaam, jiji hili limekuwa na pilikapilika nyingi za usafiri.
Lakini sambamba na adha hiyo, kumekuwa na ubabe mwingi kwa waendesha vyombo hivyo vya usafiri na kupelekea kila mmoja kuwa mbabe. Hii haijalishi, bodaboda, mikokoteni,gari nk.Hivi kwanini hupelekea hivyo?

Michango yenu ni mhimu kwa mstakabari wa kujenga utu!

Nafikiri chanzo cha hili tatizo ni ubinafsi uliopindukia. kila mtu akiwa barabarani anajiona yeye ni bora kuliko mwenzake. Pili ni ujinga na upuuzi wa kutokufuata na kutii sheria za barabarani. Jambo lingine ni ushamba na kukosekana kwa ustaarabu katika matumizi ya barabara. Ni hayo tu
 
Kwa sababu hizo ni wazi kuwa kuna kitu cha kufanya kwa manufaa ya baadae!
 
watanzania wanahitaji kubadilishwa kwa nguvu. Labda hapa kazi tu ndio itawabadilisha kama sio kuwaharibu zaidi
 
Ujinga huo wa ubabe ndio unaendekeza foleni nyingine zisizo za msingi. Kuna Wababe wako barabara ya shungashunga kuunganisha Mandela Road wanaboa sana kila siku wanasababisha jam.
 
Pamoja na jam, tatizo la ubabe huambatana na lugha za kuudhi!
 
Hivi ni nani anayependa kupigwa stop mataa tena akiwa wa mbele kabisa.
Kisa tu mbele yako kuna Mtu anapapasa chuma!!
Wanaoremba wote vyombo vyao vina mabonde
 
Hiyo ndo inaitwa"Survival for the fittest" and "Struggle for Existence"-Neo Darwinism.
 
Naweza kukubaliana nawe kwa moja tu: Maisha yako juu sana kwa watz. wengi iwe kijijini hata mijini kwa hiyo watu wako frustrated.

Ni Frustrations na msongo wa mawazo, athari zake sio ubabe na lugha za kuudhi tu,hata usababishaji wa Ajali ambazo zingeweza kuepukika!
 
Kwanza fujo nyingi zinasababishwa na magari ya serikali. Nimeshuhudia waki overtake kila sehemu tena bila kuangalia madhara watakayosabbaisha.

Madereva wa daladala nao wanachangia kiasi fulani.
 
Acheni kulegea ndio maana Jiji linaitwa Bongo....
 
Back
Top Bottom