Kwa tulivoiona Yanga, unahisi Real Bamako anakufa goli ngapi?

Mechi itakua nzuri maana As real Bamako nao wanacheza possession game kwahiyo inaonekana atakayekua na midfielder wazuri atatengeneza nafasi nyingi za kufunga.
 
Back
Top Bottom