Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,550
Cha msingi ni kuimarisha miundo mbinu yetu ya reli ya kati, uwanja wa ndege na bandari ya Kigoma. Biashara kati ya TZ, DRC na Burundi ni ya muda mrefu kuanzia wakati wa biashara ya utumwa. Mahitaji mengi ya DRC Mashariki na Burundi yanatoka au kupitia TZ. Uanzishwaji wa Kigoma Special Economic Zone (KiSEZ) na ujenzi wa "Dry Port" utakuza zaidi biashara kati ya nchi hizo zenye Soko kubwa na TZ.
Kaka soma mada wakati umetulia, usiwe na jazba! Ni sehemu gani nimeandika kujenga reli mpya? Nimeandika kuimarisha ​miundombinu!Ha ha ha ha!Wabongo bana!Kwa reli kujengwa tena katika Nchi hii ni sawa ndoto,Halafu nyinyi wenyewe Watanzania kutunza miundombinu ya barabara ya Nchi hii ni janga lingine pia,Ni juzi tu hapa kwa umoja wenu mkaungana na Waziri Mkuu mbovu kuliko wote tangu Nchi hii ipate uhuru kupinga juhudi za Waziri mmoja mchapa kazi za kuzilinda barabara za Nchi hii na leo hii mko mitandaoni kutaka kujengewa barabara nyingine ambazo hata kuzitunza hamuwezi?
Kiongozi, mbona sijaandika kujenga reli bali kuimarisha! Jaribu kutulia kwanza wakati wa kuchangia mada.Ha ha ha ha!Wabongo bana!Kwa reli kujengwa tena katika Nchi hii ni sawa ndoto,Halafu nyinyi wenyewe Watanzania kutunza miundombinu ya barabara ya Nchi hii ni janga lingine pia,Ni juzi tu hapa kwa umoja wenu mkaungana na Waziri Mkuu mbovu kuliko wote tangu Nchi hii ipate uhuru kupinga juhudi za Waziri mmoja mchapa kazi za kuzilinda barabara za Nchi hii na leo hii mko mitandaoni kutaka kujengewa barabara nyingine ambazo hata kuzitunza hamuwezi?
Ha ha ha ha!Wabongo bana!Kwa reli kujengwa tena katika Nchi hii ni sawa ndoto,Halafu nyinyi wenyewe Watanzania kutunza miundombinu ya barabara ya Nchi hii ni janga lingine pia,Ni juzi tu hapa kwa umoja wenu mkaungana na Waziri Mkuu mbovu kuliko wote tangu Nchi hii ipate uhuru kupinga juhudi za Waziri mmoja mchapa kazi za kuzilinda barabara za Nchi hii na leo hii mko mitandaoni kutaka kujengewa barabara nyingine ambazo hata kuzitunza hamuwezi?
Ha ha ha ha!Wabongo
bana!Kwa reli kujengwa tena katika Nchi hii ni sawa ndoto,Halafu nyinyi
wenyewe Watanzania kutunza miundombinu ya barabara ya Nchi hii ni janga
lingine pia,Ni juzi tu hapa kwa umoja wenu mkaungana na Waziri Mkuu
mbovu kuliko wote tangu Nchi hii ipate uhuru kupinga juhudi za Waziri
mmoja mchapa kazi za kuzilinda barabara za Nchi hii na leo hii mko
mitandaoni kutaka kujengewa barabara nyingine ambazo hata kuzitunza
hamuwezi?
Nakuunga mkono mleta mada.Tena serikali itangaze haraka sana hii coalition,tunataka tuone matokeo ya kuwaondoa m23.
mkuu hueleweki,kwahiyo unataka tusitoe mawazo yetu?tunyamaze mkuu?Hapana,acha tutoe mawazo yetu ili akipatikana kiongozi makini atekeleze.