Kwa tabia hizi za ‘mfiwa‘ akiwa msibani nyumbani kwake ‘tukihisi' labda amehusika na ‘kifo‘ cha marehemu tutakosea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Ni Mama Mzazi ambaye 'amefiwa' na Mwanae (Bintinye) ndiyo ameonyesha hizi tabia Kuu Saba (7) tajwa hapa chini.
1. Muda mwingi anaagiza apigwe picha
2. Muda mwingi anachati na simu yake
3. Muda mwingi sura ya huzuni inaadimika nyagoni/usoni mwake
4. Muda mwingi machozi unayatafuta kwa tochi machoni mwake
5. Muda mwingi sura yake anaielekeza kilipo kitabu cha michango ya rambirambi
6. Muda mwingi anakuwa ‘busy‘ na kila kitu anataka akifanye yeye tu
7. Muda mwingi anapiga tu ‘soga‘ na ‘mashosti‘ zake ambao ni ‘wadangaji ‘ watupu

Nasubiri mirejesho yenu tafadhali.
 
Muda Mwingi...... Akiona Mgeni mzito ndio.anaingia anaachia Kilio kikubwa huku akijifanya anaanguka ili.adakwe.

Muda Mwingi. ....... Hupenda kwenda uwani kama mgonjwa wa kisukari.

Muda mwingi........ Akienda kwenye.mazishi kuzika akiwa kaburini hutaman Mchungaji asome shaa shaa.
 
Kafara huwa Ni kwa mtoto unayempenda sio unayemchukia...hao Ni walikuwa hawaivi tu.

Kwa mujibu wa Majirani huyo Marehemu ndiyo alikuwa Kipenzi hasa cha Mama na Baba. Wazazi wote Wawili wana Asili ya ule Mkoa ambao Mwenyekiti ' Mzoefu wa Kesi ' za Kichama na za Kijamii nchini Tanzania anatokea huku Ndugu zake wengi kama kawaida yao Mwezi huu wakijiandaa kwenda Kwao ambapo hata kama Mabasi yatakosekana wapo tayari kupakiwa hata katika ' Maguta ' kama Ndizi Mbivu ilimradi tu Krismasi iwakutie huko ' Baridi Mlima City ' wakiwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki zao.
 
Back
Top Bottom