Kwa suala la Nape Wapinzani mngenyamaza, mngechukua jembe mkalime.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Wagombanapo ndugu we chukua jembe ukalime.NAPE NI CCM NA ATAENDELEA KUWA CCM MILELE. Na atampigia debe MwanaCCM mwingine sababu nape anapata kula yake kupitia CCM.
HAMNA USHUJAA WOWOTE ALIOUFANYA. NI YALE YALE MAIGIZO YA CCM YA MIAKA YOTE. Mmesahau kuna kipindi Mwakyembe alikuwa shujaa? Mmesahau?mmesahau nape alikuwa akiwagonga kwa maneno machafu kabisa ambayo si ya kisiasa?

Mgogoro wake na watu kadhaa serikalini ni wa kimaslah na ndo maana hana ujasiri wowote. YANAYOMPATA NI MATUNDA YA BAO LAKE LA MKONO. ACHA MOTO UWAKE.... LA MSINGI NI KUZIDI KUOMBA KILA MTU APATE MALIPO YAKE HAPA HAPA DUANIANI.

Chukua Jembe nenda kalime. Wana CCM ni waarabu wa PEMBA HUJUANA KWA VILEMBA.
 
Mbona povu sna mkuu...

Kwa mbaaali naona Nape alianza kujielewa...

Kuna kauli aliitoa

Mbegu ili iote sharti kwanza ioze

Naona sasa ndio yupo kwenye uozo anataka kuota....
 
Ameshaoza hawezi ota. Na pengine angefafanua ni mbegu gani?na inaota itoe zao gani?nape ni matokeo ya siasa chafu zinazomtafuna yeye na chama chake.
 
Back
Top Bottom