Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,017 Dec 17, 2010 #1 Hatimaye ule wimbo wa Dr. Remmy Ongala uliopigwa marufuku miaka kadhaa iliyopita umerushwa hewani leo hii na Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast.................. Naomba mwenye lylics zake aniwekee hapa
Hatimaye ule wimbo wa Dr. Remmy Ongala uliopigwa marufuku miaka kadhaa iliyopita umerushwa hewani leo hii na Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast.................. Naomba mwenye lylics zake aniwekee hapa