Ndugu wana jf na walimu wenzangu kwa takribani miaka mingi walimu tumekuwa tukilalamikia masilahi mabovu,mazingira mabaya ya kufanyia kazi,vitendea kazi hafifu na matatizo mengine lukuki nazani yanafahamika.
kwa hali hiyo walimu tunataka. mambo yafuatayo yatimizwe ndani ya siku miaka moja (100) za mwanzo mwa serkali ijajo....
1.kutupandishia mishahara
Degree:1200000 basic salary
Diploma:950000 basic salary
Certificate:720000 basic salary
2. posho ya mazingira magumu na housing allowances angalau laki mbili kila mwezi
3.kuboresha mazingira ya kazi
* vitabu na maabara,madawati ya kutosha
*mfumo wa elimu bora
3.kupandishwa madaraja kwa wakati...
HIZO NDIO HISIA ZANGU