Kwa sasa vyama vya Upinzani vimebaki Bungeni tu

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
Wadau, amani iwe kwenu.

Rais Magufuli amedumu madarakani kwa zaidi ya siku 100. Mambo aliyofanya nadiriki kusema kuwa ni makubwa na yamewashangaza wengi. Wengi wamebaki midomo wazi na kwa hakika Watanzania wanazidi kumpenda na kumkubali Rais wetu.

Upande wa pili wa shilingi, hali ya upinzani inazidi kuwa dhoofu. Pengine kinachowapa nguvu kidogo kwa sasa ni hali ya kisiasa Zanzibar. Nina hakika baada ya Machi 20, wapinzani watapotea kabisa kwenye siasa za dhahiri ( Active Politics).

Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa harufu ya upinzani ni Bungeni. Labda kwa vile wengi wao wanapenda sana kuuza sura kwenye Runinga. Hata hivyo, ukichunguza kwa makini, hoja nyingi zinazotolewa na wabunge wa upinzani ni za kutaka tu kuuza sura na si kunusuru upinzani. Fikiria mbunge anasimama eti kung'ang'ania bunge lioneshwe Live! Ona Eti mbunge anasimama na kusema Mwakyembe ametumia zaidi ya bilioni 260 kununua mabehewa feki. Alipotakiwa kutoa ushahidi ameshindwa mwisho wa siku kaambulia aibu ya kutohudhuria vikao viwili

Kwa sasa wapinzani wapo likizo. Tuonane tena mwezi Aprili wakati Bunge la Bajeti litakapoanza vikao vyake.
 
Umeacha kubandika magazeti ya udaku?
Nenda katumbuliwe jibu na Fyoko Fyoko
 
Wajinga wajinga ndo hawaoni thamani ya upinzani. Kwa taarifa upinzani upo na utazidi kuwepo daima. Ccm sio Mungu kwamba itadumu milele, wiziwizi wake utafikia ukomo. Kuhusiana na Mag, si yupo analipa fadhila tu, kwa mwananchi wa kawaida amemgusa vipi mpaka sasa hivi, bei bado IPO juu sana, angalia sukari, unga maharage, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, mkaa n.k. Dola ndo ipo juu usiseme...acha kusifia. kutumbua majipu angalia uhalisia
 
Akili ndogo alwayz tunaipima kwa hoja zake, mfano anasema "Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa halufu ya upinzani ni bungeni" sasa jiulize wewe upinzani huwa unaunusa ukiwa wapi tofauti na bungeni? je huu muda ni wa kujadili nani mpinzani nani siyo mpinzani?

classification of people; wewe ni midle mind person yaan hawa ni wanafiki, wambeya na wabinafsi always discussing about people and their richnes hawafanyi kazi wavivu. teh teh sory kwa kugusa ukweli
 
Wewe inaonekana hujui hata siasa ya dunia inaendaje kati ya serikali na upinzani. Katafute muongozo usome duniani pote upinzani na serikali wanafanyaje kazi !!!!! Uchaguzi umeisha serikali inayokusanya kodi iwajibike kwa wananchi na upinzani uisukume serikali kutimiza wajibu wake
 
Akili ndogo alwayz tunaipima kwa hoja zake, mfano anasema "Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa halufu ya upinzani ni bungeni" sasa jiulize wewe upinzani huwa unaunusa ukiwa wapi tofauti na bungeni? je huu muda ni wa kujadili nani mpinzani nani siyo mpinzani?

classification of people; wewe ni midle mind person yaan hawa ni wanafiki, wambeya na wabinafsi always discussing about people and their richnes hawafanyi kazi wavivu. teh teh sory kwa kugusa ukweli
Je low minded na high minded wakoje kiongozi
Msaada tafadhali
 
Akili ndogo alwayz tunaipima kwa hoja zake, mfano anasema "Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa halufu ya upinzani ni bungeni" sasa jiulize wewe upinzani huwa unaunusa ukiwa wapi tofauti na bungeni? je huu muda ni wa kujadili nani mpinzani nani siyo mpinzani?

classification of people; wewe ni midle mind person yaan hawa ni wanafiki, wambeya na wabinafsi always discussing about people and their richnes hawafanyi kazi wavivu. teh teh sory kwa kugusa ukweli
Usihangaike naye huyo, refer my first comment on this topic.
 
Bila upinzani haya yasingetokea. Shukuru upinzani hata kwa hili dogo kwa sababu Magu bado hajakamua kitu
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Rais Magufuli amedumu madarakani kwa zaidi ya siku 100. Mambo aliyofanya nadiriki kusema kuwa ni makubwa na yamewashangaza wengi. Wengi wamebaki midomo wazi na kwa hakika Watanzania wanazidi kumpenda na kumkubali Rais wetu.

Upande wa pili wa shilingi, hali ya upinzani inazidi kuwa dhoofu. Pengine kinachowapa nguvu kidogo kwa sasa ni hali ya kisiasa Zanzibar. Nina hakika baada ya Machi 20, wapinzani watapotea kabisa kwenye siasa za dhahiri ( Active Politics).

Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa harufu ya upinzani ni Bungeni. Labda kwa vile wengi wao wanapenda sana kuuza sura kwenye Runinga. Hata hivyo, ukichunguza kwa makini, hoja nyingi zinazotolewa na wabunge wa upinzani ni za kutaka tu kuuza sura na si kunusuru upinzani. Fikiria mbunge anasimama eti kung'ang'ania bunge lioneshwe Live! Ona Eti mbunge anasimama na kusema Mwakyembe ametumia zaidi ya bilioni 260 kununua mabehewa feki. Alipotakiwa kutoa ushahidi ameshindwa mwisho wa siku kaambulia aibu ya kutohudhuria vikao viwili

Kwa sasa wapinzani wapo likizo. Tuonane tena mwezi Aprili wakati Bunge la Bajeti litakapoanza vikao vyake.
Akili huna na hii ni kwa sababu ya jk kuwaombea kupata kibarua,wacha kujitoa akili kwa kibarua
 
Ndo mana nikasema s.enge linatoa ya moyoni, kwa hiyo kwa akili yako kila anayekupinga wewe ni CHADEMA.
Mkuu hiyo ndio akili ya ngiri waliofirisika wa lumumba
1455725687364.jpg
 
Wajinga wajinga ndo hawaoni thamani ya upinzani. Kwa taarifa upinzani upo na utazidi kuwepo daima. Ccm sio Mungu kwamba itadumu milele, wiziwizi wake utafikia ukomo. Kuhusiana na Mag, si yupo analipa fadhila tu, kwa mwananchi wa kawaida amemgusa vipi mpaka sasa hivi, bei bado IPO juu sana, angalia sukari, unga maharage, mafuta ya kupikia, gesi ya kupikia, mkaa n.k. Dola ndo ipo juu usiseme...acha kusifia. kutumbua majipu angalia uhalisia
Kweli kabisa mkuu ila namlaumu sana jk kwa kuwaombea vijana wanao shinda mtandaoni kuisifu na kuwa tayari kutumiwa kama ngazi ya watawala
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Rais Magufuli amedumu madarakani kwa zaidi ya siku 100. Mambo aliyofanya nadiriki kusema kuwa ni makubwa na yamewashangaza wengi. Wengi wamebaki midomo wazi na kwa hakika Watanzania wanazidi kumpenda na kumkubali Rais wetu.

Upande wa pili wa shilingi, hali ya upinzani inazidi kuwa dhoofu. Pengine kinachowapa nguvu kidogo kwa sasa ni hali ya kisiasa Zanzibar. Nina hakika baada ya Machi 20, wapinzani watapotea kabisa kwenye siasa za dhahiri ( Active Politics).

Mahala pekee ambapo angalau unaweza kunusa harufu ya upinzani ni Bungeni. Labda kwa vile wengi wao wanapenda sana kuuza sura kwenye Runinga. Hata hivyo, ukichunguza kwa makini, hoja nyingi zinazotolewa na wabunge wa upinzani ni za kutaka tu kuuza sura na si kunusuru upinzani. Fikiria mbunge anasimama eti kung'ang'ania bunge lioneshwe Live! Ona Eti mbunge anasimama na kusema Mwakyembe ametumia zaidi ya bilioni 260 kununua mabehewa feki. Alipotakiwa kutoa ushahidi ameshindwa mwisho wa siku kaambulia aibu ya kutohudhuria vikao viwili

Kwa sasa wapinzani wapo likizo. Tuonane tena mwezi Aprili wakati Bunge la Bajeti litakapoanza vikao vyake.
1455725950422.jpg
 
Back
Top Bottom