DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,737
- 81,808
Binadamu wengi wamejaa ubaguzi tu ....Mfano misikitini na kanisani ...utakuta wanahubiri Kusaminiana kwa mtu aliyenacho na asiyenacho . Yaan tajili kwa maskini.
Lakin cha Ajabu wale wenye Fedha ndio wanaopendwa sana na kupewa heshima kwa wingi ..ikiwemo kuombewa dua za kila aina.
Ukija katika upande Wa kifamilia mtoto mwenye uwezo mzuri wa fedha ndio upendwa sana na wazazi ...Lakin yule ambaye hana fedha anaonekana kama msumbufu tu saa nyingine wazazi wanaweza kumuita mchawi.
Lakin Pamoja na yote haya group la wamaskin bado linakabiliwa na changamoto yakuchukia mafanikio ya wenzio na mwisho wake Uenda mpaka kwa waganga kurogana...wao kwa wao.
Sehemu pekee ambayo uwe na fedha au hauna watu wakikupenda wamekupenda ni kweny siasa tu.