Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini wanaJF.
Nimefikiria tu sababu ambazo hunifanya ninywe pombe au kutumia kilevi, japo kiafya ni hatari tupu.Huwa nikilewa napata raha sana duniani:
1. Matatizo, shida hutoweka
2. Nakuwa jasiri sana
3. Nakumbuka enzi za utoto , nilipokuwa shule ya msingi
4. Huwa napata muda mzuri wa kufikiria mambo yangu kwa mapana zaidi ; wapi nimetoka, wapi nilipo na wapi ninakwenda
5. Huwa nakuwa mbunifu sana wa kutafuta vyanzo mbalimbali vya mapato (Strategic mood)
6. Huwa sichukii, kila mtu huwa rafiki wa kila mtu na nyumbani kwangu
7. Huwa nakuwa na confidence ya kutongoza mwanamke, hata kama waheshima vipi, hata kama mkubwa vipi, hata kama mpole vipi. Na huwa sikosagi.
8. Huwa namridhisha sana mke wangu,sichokagi.
Wewe je? Kilevi kinakisaidiaje kijamii, kisiasa na kiuchumi?