Kwa roho moja, taifa moja, Kamanda Lema ateuliwe kuwa Waziri wa mambo ya ndani

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Wanabodi Hili wazo langu tu.

Matukio yanayoendelea kwa sasa juu ya polisi na usalama wa watu tunahitaji kuunganisha nguvu na kuangalia watu wenye uwezo wa kutatua changamoto zetu.

Nilikuwa naangalia uwezo wa Mhe. Mwigulu juu ya yanayoendelea nikaona, yamemshinda kwa sana. Anahitaji msaada na kupumzishwa. Amefikia ukomo wa kupambana na changamoto za Idara yake anayoongoza.

Anahitaji kupumzika. Nimeangalia nje ya uzio wa CCM nikaona Mhe. Lema anaweza pambana na changamoto hizo na pengine kuzimaliza.

Mimi ni mtu ninayeamini katika umoja na utaifa zaidi ya uchama.

Naomba tuwe na wazo chanya katika hili.

Updates:
Waziri Nchemba awasili eneo yalipotokea mauaji ya polisi wanane
waziri+nchemba_1.jpg
 
Wanabodi Hili wazo langu tu.

Matukio yanayoendelea kwa sasa juu ya polisi na usalama wa watu tunahitaji kuunganisha nguvu na kuangalia watu wenye uwezo wa kutatua changamoto zetu.

Nilikuwa naangalia uwezo wa Mhe. Mwigulu juu ya yanayoendelea nikaona, yamemshinda kwa sana. Anahitaji msaada na kupumzishwa. Amefikia ukomo wa kupambana na changamoto za Idara yake anayoongoza.

Anahitaji kupumzika. Nimeangalia nje ya uzio wa CCM nikaona Mhe. Lema anaweza pambana na changamoto hizo na pengine kuzimaliza.

Mimi ni mtu ninayeamini katika umoja na utaifa zaidi ya uchama.

Naomba tuwe na wazo chanya katika hili.
Kwa kigezo gani?
 
Lema hawezi, ni mtu aonekanaye kuwa wa kulipiza visasi - kwa Tanzania kama asingekuwa kiongozi wa chama ZITTO KABWE anafaa kuwa ktk serikali ya magufuli

Lakini pia ningekuwa JPM ningempa kazi Mhe. Mama Anne Mughwira aliyekuwa mgombea urais wa chama cha act wazalendo.
 
Hizi ndoto ndugu yangu yaani wizara ya mambo ya ndani apewe Lema kwani mmesahau kuna uchaguzi 2020 ? CCM watakuwa wapumbavu kufanya hivi maana kushinda kwao wanategemea vyombo vya dola
 
Hakika Lema anatosha katika nafasi hiyo. Mheshimiwa rais naomba ufanye maamuzi magumu bila kujali itikadi za kivyama. Tanguliza utaifa kama ulivyotuahidi kipindi kile unaapa kuwa rais wa JMT.
 
Back
Top Bottom