imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,039
Ngosha hutumika jamaa bhebhe Ngosha bhebhe"...wewe jamaa wewe" sio tusiUnajua maana ya ngosha?
Ngosha hutumika jamaa bhebhe Ngosha bhebhe"...wewe jamaa wewe" sio tusiUnajua maana ya ngosha?
Sasa kusema "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe" na wewe ndo umeona uandae uzi kabisa?raia bhana...Ni kama vile upinzani baina Tundu Lissu na Rais Magufuli ni personal.
Lissu anatumia lugha kali sana akiwa anamzungumzia Magufuli. Kabakiza tu kumtukana matusi ya nguoni hadharani [si ajabu faraghani huwa anamtukana hayo matusi ya nguoni].
Kwenye video hii kutoka jana akiwa Arusha, kuanzia dakika ya 1:29....baadhi ya watu kwenye umati aliokuwa akiuhutubia, walisikika wakisema ‘wewe ni ngosha bana’.
Naye aliposikia hivyo akajibu kwa kusema ‘eh mi sio ngosha....mi sio jiwe’.
Hakika, kwa kauli kama hizo, akiwekewa figisu ili hatimaye jina lake lisikuwepo kwenye ballot paper mwezi Oktoba, sitoshangaa kabisa.
Lissu wakati mwingine mdomo wake huwa hauna chujio kabisa.
Ngosha maana yake ni mwanaume.Ngosha hutumika jamaa bhebhe Ngosha bhebhe"...wewe jamaa wewe" sio tusi
Wewe na makamanda wenzio hamna akili kabisa.Sasa kusema "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe" na wewe ndo umeona uandae uzi kabisa?raia bhana...
Sawa boss....wew ndo mwenye akili ambae unasema anatumia lugha kali alafu mfano unaweka "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe"Wewe na makamanda wenzio hamna akili kabisa.
Mmeshindwa hata kuelewa mlichokisoma.
Muda si mrefu mtanielewa tu.
Neno ‘halafu’ tu linakushinda kuandika!Sawa boss....wew ndo mwenye akili ambae unasema anatumia lugha kali alafu mfano unaweka "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe"
Hongera kwa akili level za juu comrade
Neno "sembuse" tu linakushinda utaweza kuelewa nilichokiandika...Neno ‘halafu’ tu linakushinda kuandika!
Seuze kuelewa nilichokiandika??
‘Alafu’ ndo ushuzi gani huo?
Umeahau pia Rais ni Yesu, Raisi ni kiranja wa MalaikaMimi hata siku moja siwezi kuwa mshabiki wa chama cha siasa. Mimi ni mshabiki wa ukweli, haki na uwazi. Hotuba anazotoa Lissu zina maneno ya kawaida kabisa na zinazunguzia ukweli, hali halisi na udhaifu mkubwa wa rais aliyepo sasa hivi. Ilivyo nchi yetu sasa hivi rais ni katiba, rais ni sheria, rais ni mahakama, rais ni polisi, rais ni kiongozi wa dini, rais ni kila kitu. Huwezi kuzungumzia udhaifu uliopo bila kumzunguzia na tena niseme Lissu anatumia maneno laini sana.
Unaona ulivyo lijinga!??Neno "sembuse" tu linakushinda utaweza kuelewa nilichokiandika...
Seuze ndo ushuzi gani? Naona tunajambiana mzee baba
Nyani tuheshimiane bhana kisukuma Chako cha Chato tofauti na hapa HungumalwaNgosha maana yake ni mwanaume.
Wewe utakuwa ni ‘nkema’. 🤣🤣
Ute ngosha ubhebhe.
Tushawaambia machadema huyo mliompitisha kugombea ana asili ya kichaa mkabisha, sasa anakoelekea hamwogopi tena hata Mbowe mtakuja kukumbuka habari hii
Kwa maana hiyo hii ndio sababu ya kujenga uwanja wa kimataifa chato?Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Hapo Tusi ni lipi sasa?Alishamtukana mbona wakati anahojiwa na redio ya kenya wiki iliyopita..alisema kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa na jk hawakujenga uwanja kwao sio hawa viongozi wa hivyo hovyo.
Amekatwa?Niliandika haya siku 10 zilizopita!
Nikatukanwa. Nikabezwa. Nikaambiwa huwa najifanya mjuaji sana. Eti huwa najiona niko juu.
Haya sasa, siku ya siku imefika.
Mara nyingi huwa ni vigumu sana ku-reason na watu watangulizao hisia.
Nina msemo wangu mmoja hivi: intellect over emotions.
Labda baada ya leo, ambao hawakunielewa, wataanza kunielewa sasa.....
We unaonaje? Figisu zipo au hazipo?Amekatwa?