Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Niliandika haya siku 10 zilizopita!

Nikatukanwa. Nikabezwa. Nikaambiwa huwa najifanya mjuaji sana. Eti huwa najiona niko juu.

Haya sasa, siku ya siku imefika.

Mara nyingi huwa ni vigumu sana ku-reason na watu watangulizao hisia.

Nina msemo wangu mmoja hivi: intellect over emotions.

Labda baada ya leo, ambao hawakunielewa, wataanza kunielewa sasa.....
Umezodoka zodooo kisikio poo kama tumbili
 
Inaitwa wamebana hadi wameachia. Hatua moja mbele, kesho kisutu.

Safari bado.
 
Back
Top Bottom