Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
utafanya watu ambao wanatulia tu wake zao wakisafiri
wahisi 'wana matatizo' lol
Pole kama yamekukuta! Sio wanaume wote bwana, mme wako kama hajatulia usidhani wote wako hivyo.
Pole kama yamekukuta! Sio wanaume wote bwana, mme wako kama hajatulia usidhani wote wako hivyo.
kwa ninihili linatokea sana??? pindi mke anaposafiri mume either atatembea na jirani au kama ndo amepanga atatembea na mpangaji mwenzie naongea kwa experience ,je wanaume hamuwezi kuvumilia tulijadili hili naomba matusi na kejeli tuache pili usichakachue hii thread please!? Karibuni