J jobseeker Member Joined Feb 25, 2012 Posts 69 Reaction score 7 Mar 20, 2012 #1 watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba?
PetCash JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,996 Reaction score 2,017 Mar 20, 2012 #2 jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... Mkuu, naona ungeendelea tu kutilia mkazo suala lako la kutafuta kazi ingekusaidia zaid- kupata ajira mjini hapa kazi!
jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... Mkuu, naona ungeendelea tu kutilia mkazo suala lako la kutafuta kazi ingekusaidia zaid- kupata ajira mjini hapa kazi!
huzayma Senior Member Joined Mar 14, 2011 Posts 126 Reaction score 31 Mar 20, 2012 #3 PetCash said: Mkuu, naona ungeendelea tu kutilia mkazo suala lako la kutafuta kazi ingekusaidia zaid- kupata ajira mjini hapa kazi! Click to expand... ha ha ha ha haaaa umenivunja mbavu dah!
PetCash said: Mkuu, naona ungeendelea tu kutilia mkazo suala lako la kutafuta kazi ingekusaidia zaid- kupata ajira mjini hapa kazi! Click to expand... ha ha ha ha haaaa umenivunja mbavu dah!
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Mar 20, 2012 #4 jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... Mkuu hapa unauliza swali? Unatoa maoni, unashangaa au kitu gani? Hausomeki! Au ni frustration?
jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... Mkuu hapa unauliza swali? Unatoa maoni, unashangaa au kitu gani? Hausomeki! Au ni frustration?
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,556 Mar 20, 2012 #5 jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... kwa sababu ya sababu.
jobseeker said: watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba? Click to expand... kwa sababu ya sababu.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 20, 2012 #6 kwani wakiwaita honey ndo watageuka kuwa asali? Hayo ni majina tu ya kimahaba kutokana na kuzoeana kwao na namna wanavyoitana, au kuappreciate au hata kuzuga...
kwani wakiwaita honey ndo watageuka kuwa asali? Hayo ni majina tu ya kimahaba kutokana na kuzoeana kwao na namna wanavyoitana, au kuappreciate au hata kuzuga...