Alimaanisha tuna rasilimali lakin hatujui kuzitumia mfano tuna madini vyanzo vya maji kama bahari ,maziwa mabwawa ambayo kutokana nayo tunaweza Fanya shughuli kama kilimo ufugaji nk lakini watanzania nilichogundua tunataka shughuli za kupata pesa harakaharaka mfano MTU anaweza kuwa anaishi karibu na chanzo cha maji lakin ikimwambia alime atakuuliza je hicho kilimo atacholima kitachukua muda gan aaaah kama ukimtajia miez mingi hawez kukubal so kwa ujumla tulio wengi hatupend shughuli zinazoitaj subra ni mtazamo 2 jaman